Mkuu wa wilaya ya Lushoto juu Mh.Mariam Juma akiwa na wadau mbali mbali katika mkutano wa chai ya asubuhi (breakfast meeting) mkutano ulioandaliwa na YOUTH PEACE MAKER'S TANZANIA ukijadili NI NINI CHANZO CHA MATOKEO MABAYA YA KIDATO CHA NNE WILAYA YA LUSHOTO 2014.Waendesha mada wakiwa ni MR.SENGASU na FROWIN MGANI....endelea kutoa maoni yako kupitia blog hii pamoja facebook yetu juu ya mada hii pia kutoa wazo kuhusu mada unayopendekeza ijadiliwe katika mkutano ujao.